GET /api/v0.1/hansard/entries/617443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 617443,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617443/?format=api",
    "text_counter": 50,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mositet",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 608,
        "legal_name": "Peter Korinko Mositet",
        "slug": "peter-korinko-mositet"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Nakushukuru kwa uongozi ulionyesha mwaka jana. Pia, ninawashukuru wenzangu kwa kuzingatia zile sheria ambazo tulipitisha hapa. Kwa hivyo, hiyo ni uadilifu kazini. Pia, waliweza kufanya kazi vile inatakikana. Wale ambao wanafanya kazi zaidi ni wale wenye wamesemekana wanawania viti vya ugavana. Sifikirii maneno hayo yana ukweli kwa sababu wenyewe wamejitokeza na kusema kwamba hawana nia na wataendelea kutumikia taifa katika Seneti. Labda ni mbinu ya kuchokoza ili wengine wajue vile wakenya watasema. Ninashukuru uongozi wa walio wengi na walio wachache na pia Seneti kwa jumla kwa uadhilifu wao. Miswada ambazo hazikufikiwa mwaka jana, naomba Bw. Spika kwamba ofisi yako iangalie vile tutazifufua. Asante."
}