GET /api/v0.1/hansard/entries/617965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 617965,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/617965/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Bule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1029,
        "legal_name": "Ali Abdi Bule",
        "slug": "ali-abdi-bule"
    },
    "content": "Bw. Spika, nataka kujua vile wakimbizi wa ndani waliokimbia kutoka Tana River miaka 13 iliyopita wakati wa vita wanavyoshughulikiwa. Wakati huo watu wengi walikimbia kutoka Tana River na hawatambuliwi mpaka sasa. Wengi wako Mombasa, Kwale na Taita-Taveta na bado hawajatambuliwa. Kwa hivyo, naomba Serikali ituambie wako wapi na itafute mbinu ya kuwarejesha au iwape makao."
}