GET /api/v0.1/hansard/entries/618132/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618132,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618132/?format=api",
"text_counter": 320,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante sana, Bw. Naibu Spika kwa kunipa fursa hii. Naunga mkono dada yangu, Sen. Wangari, kwa kuleta Mswada huu wa kuleta marekebisho katika sekta ya utendakazi. Ukweli ni kwamba sio sisi sote kama binadamu tunauwezo wa kupata watoto na kuwalea. Kuna wale walio katika ndoa na wale ambao hawamo. Katika maisha, kila binadamu aliyehai kuwa na hamu ya kupata mtoto. Wasiokuwa na uwezo wa kupata watoto, wamepewa nafasi katika sheria kuweza kupata watoto kisheria; katika lugha ya Kingereza inajulikana kama “ adoption” . Bw. Naibu Spika, kuna umuhimu kwa Bunge la Seneti kuzingatia binadamu wenzetu wasio na uwezo wa kupata watoto bali kwa njia ya sheria. Uwezo wa kupata watoto unatoka kwa Mungu. Mara tu mtu anapopata watoto huwa sheria ya utendakazi inamruhusu yeye kuchukua likizo ya kwenda kuwa na mtoto ama kama ni mama The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes"
}