GET /api/v0.1/hansard/entries/618154/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618154,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618154/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wangari",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13123,
"legal_name": "Martha Wangari",
"slug": "martha-wangari"
},
"content": "Bwana Spika, nafikiri hata kama namuelewa Sen. Omondi, bado najiuliza swali kwa sababu jina “Kipofu” liko kwa Kamusi ya Kiswahili na lina maana yake. Hata kama tunaelewa mahali anapotoka kwa walemavu, nafikiri pia hatuwezi tukabadilisha yale maneno ambayo yako kwa Kiswahili mufti na yako haki. Kwa hivyo, nikiulizwa naona neno “Kipofu”, liko sawa kabisa."
}