GET /api/v0.1/hansard/entries/618169/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 618169,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618169/?format=api",
    "text_counter": 357,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu Spika kwa kufafanua. Kunradhi dada yangu kama nimesema jambo ambalo pengine limekuumiza moyo. Ninakotoka, tukisema “Vipofu”, ni wengi. Tukisema “Kipofu”, ni mmoja. Katika hali ya utendakazi wa kuzaa, sio watu wengi wanaofanya pamoja. Ni mtu mmoja pekee ndiye anayefanya kitendo kile. Ndiyo sababu nikasema ya kwamba, “Ki” na ni yule mmoja anayefanya namna hiyo. Kwa hivyo pole---"
}