GET /api/v0.1/hansard/entries/618280/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 618280,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618280/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, ninaomba nimuulize mwenzagu wa upande ule mwingine, Mheshimiwa Chepkong’a, kama kweli ana uwezo na mamlaka ya kuachia mtu mwingine nafasi yake ya uanachama kwenye kamati ya Bunge. Uwezo huo ameutoa wapi? Hana uwezo wa kufanya hivyo kwa sababu huo uwezo uko Bungeni. Kwa hivyo, asijitwike mamlaka ambayo hana. Amejibandikia mamlaka ambayo si yake. Watu hao wanaitwa, kwa lugha ya mtaani, wezi. Hawezi wala hana huo uwezo na hatakuwa na huo uwezo kwa sababu uwezo huo ni wa Bunge hili."
}