GET /api/v0.1/hansard/entries/618307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618307/?format=api",
"text_counter": 99,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nikiunga mkono Hoja hii ya kawaida, ninaomba nichukue nafasi hii kufafanua mawili au matatu. Hoja hizi zinaletwa wakati Kamati mbili za Bunge zimeshikana ili kutoa mchango wao kwa jambo lo lote ambalo limeletwa Bungeni. Ripoti hiyo ikiletwa Bungeni, ni muhimu kila Mbunge apatiwe nafasi ya kutoa mchango wake kwa Hoja hiyo."
}