GET /api/v0.1/hansard/entries/618309/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618309,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618309/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Nikimalizia, kuna jambo ambalo ninaona linataka kuenezwa hapa ambalo si sahihi. Inaonekana kuwa labda tunataka kufurusha wenzetu upande huu wakimbie upande ule mwingine ama tunawaadhibu. Ninaomba ikubalike wazi kuwa wengi wetu ambao tuko hapa, mbali na wale wachache ambao walikuja Bungeni na tiketi za ubinafsi, tumeletwa na tiketi ya chama. Kabla ya kuingia Bungeni, wengi waliweka sahihi wakikubali masharti ya chama."
}