GET /api/v0.1/hansard/entries/618311/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618311,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618311/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ninashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Umeamua na usawa. Ninaomba ieleweke kuwa kama umefuata sheria, zifuate mpaka mwisho. Sheria zetu za Bunge zinampatia Kiranja wa Bunge nafasi kama ameagizwa na chama chake kuomuondoa mtu mmoja kutoka kamati. Isije ikawa kuna watu ambao wanataka kupeana adhabu. Ninaunga mkono Hoja hii bila tatizo lo lote."
}