GET /api/v0.1/hansard/entries/618426/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618426,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618426/?format=api",
"text_counter": 218,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Japo tunazungumza, na ninaskitika kuwa tumelifanya hili jambo likawa ni la kubinafsishwa, kwamba mtu fulani ametolewa katika kamati, wale wengine watakaoingia katika zile kamati, hawawezi kulifanya lile jambo. Kuna tatizo gani ikiwa wataweza kulifanya na waifanye ile kazi kwa njia mwafaka na inayofaa. Ninajua wenzangu hapa hupenda sana kwenda nyuma ya zile kanuni na sharia za Bunge wakiona fikira na akili zimewashinda. Hupenda kuenda nyuma na kuyatumia yale maswala ya nidhamu na mambo mengine kama vile anavyofanya."
}