GET /api/v0.1/hansard/entries/618428/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618428,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618428/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Nassir",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": "Inafaa tuwe ni wenye kuhoji kwa akili. Tukiwa tunazungumza kuwa tuna njia na tunataka watu wawe katika kamati waweze kupendekeza matakwa ya wakenya, tuachieni kwa sababu sisi ni sauti ya wakenya. Hatuko hapa kuzungumza sauti ya mtu mmoja, bali ni sauti ya wakenya ndio inazungumzwa hapa."
}