GET /api/v0.1/hansard/entries/618429/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 618429,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/618429/?format=api",
"text_counter": 221,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Ngunjiri",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1179,
"legal_name": "Onesmas Kimani Ngunjiri",
"slug": "onesmas-kimani-ngunjiri"
},
"content": "Hoja ya nidhamu Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninashangaa kusikia kuwa mwenzangu anaongea kuhusu mambo ambayo hayako mbele yetu wakati huu. Hatuongei kuhusu vyama au kuwaondoa watu kwa Kamati. Tunajadili Hoja ambayo iko mbele yetu na tunahitajika kuiunga mkono. Mimi ninasema kuwa Hoja hii ni muhimu sana. Tuko wengi sana katika Bunge na tunataka kila mtu apate nafasi ya kuongea. Hii si nafasi ya kuzungumzia mambo ya chama au kuhusu Wabunge ambao walitolewa kwa Kamati. Mhe. Nassir hafuatilii mikakati ambayo tuko nayo wakati huu. Mambo anayozungumzia yako inje ya utaratibu wa mambo tunayozungumzia wakati huu."
}