GET /api/v0.1/hansard/entries/620616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620616,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620616/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ninasimama hapa kuunga mkono Mswada huu hususan kwa sababu mimi nimekuwa nikijaribu kuwasaidia watu wengi ambao wanakuja kwenye afisi yangu wakitaka usaidizi hususan wa kisheria na kuweza kupata haki yao."
}