GET /api/v0.1/hansard/entries/620617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620617,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620617/?format=api",
    "text_counter": 341,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Mhe. Naibu Spika wa Muda, namkumbuka sana aliyetuacha, Oscar King’ara, ambaye alikuwa na Oscar Foundation ambayo ilikuwa na kiosk pale nje ya Mahakama ya Supreme Court wakati ule ilikuwa ni High Court. Kwa sababu ya kujihusisha ma maswala haya akaletewa kesi za watu ambao walikuwa wameuwawa bila ya kujulikana kama vile Mungiki . Mwishowe, kwa sababu ya kujitolea kwa kazi yake, hata yeye mwenyewe aliuwawa."
}