GET /api/v0.1/hansard/entries/620618/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 620618,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620618/?format=api",
"text_counter": 342,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Hili ni jambo ambalo linafaa kutuelezea kwamba kumekuwa na changamoto nyingi sana kwa wale ambao wamejitolea kuwasaidia maskini, walalahoi, watu ambao wanaitwa vikaragosi na watu ambao wanaonekana hawana mbele wala nyuma hususan ukifika katika mambo ya mkono wa sheria."
}