GET /api/v0.1/hansard/entries/620619/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620619,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620619/?format=api",
    "text_counter": 343,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Nchi hii yetu imekuwa taabani kwa sababu inaonekana ni kana kwamba wenye hela wanaweza kupata haki. Wenye hela wanaweza kuhonga mahakama na wanaweza kuwa na mawakili wazuri ambao wanaweza kuwasaidia kujikwamua hata kama wao wenyewe wamekisiwa kwamba wamewaua watu. Na kuna aina nyingi sana za kesi ambazo tumeona watu ambao wangefaa kuhukumiwa hata baada yao wenyewe kukubali kwamba wamefanya makosa,wanawachiliwa. Kesi ambayo inakuja kwa akili yangu ni kesi ya Simon Ole Sisina katika lile swala la Delamare."
}