GET /api/v0.1/hansard/entries/620622/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620622,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620622/?format=api",
    "text_counter": 346,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "jambo ambalo Mswada huu unajaribu kuangazia. Kwa muda mrefu, mawakili katika afisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikari ndio wanafaa kuwasaidia watu ambao hawana usaidizi. Wao wanazembea kazini kwa sababu hawana ari au motisha ya kuweza kufanyia watu ambao ni maskini kazi. Mwishowe, hizo kesi zinatupiliwa mbali. Kwa mfano, unakuta hawaji kortini na hawana wakati wa kumpatia wasia yule muadhiriwa. Kwa hivyo, kesi inapotelekezwa, basi yule mtu hana nafasi yoyote ya kuridhia mambo yake."
}