GET /api/v0.1/hansard/entries/620624/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620624,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620624/?format=api",
    "text_counter": 348,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "pesa kidogo kwa kisingizio kwamba wanasaidia maskini. Katika nchi hii yetu, tumewaona watu wengi sana wakijitoza kwamba ni watetezi wa maskini lakini mwishowe wanajaribu kuwatapeli wale ambao wanafaa kuwa ni wanyonge zaidi. Tumeona mambo ya IDPs na kadhalika. Hii ni sheria nzuri sana. Naona muda wangu umeyoyoma. Asante."
}