GET /api/v0.1/hansard/entries/620650/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620650,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620650/?format=api",
    "text_counter": 374,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Kitu ambacho nitaomba kibadilishwe, na pamoja na wenzangu tutaleta mabadilisho, ni Ibara 9(a) ambayo inasema kuwa Rais aweze kuandika mkurugezi wa bodi ambayo itasimamia sheria hii. Tunaona ni afadhali Jaji Mkuu aweze kumchagua atakayesimamia bodi kama hii. Pia, tunaona kuwa Wakili Mkuu wa Serikali amewekwa hapa pamoja na Wizara ya Haki, ambayo hivi sasa hatuna. Kwa hivyo, pengine angewachwa mmoja peke yake."
}