GET /api/v0.1/hansard/entries/620651/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620651,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620651/?format=api",
    "text_counter": 375,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Juma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13130,
        "legal_name": "Zuleikha Juma Hassan",
        "slug": "zuleikha-juma-hassan"
    },
    "content": "Kuna jambo lingine ambalo limenifurahisha sana. Huko Kwale, tuna kabila linaloitwa Makonde. Makonde ni watu ambao wanatoka Mozambique ambao walikuwa hapo miaka na mikaka. Wamezaliwa hapo na wanaishi hapo. Jambo la kusikitisha ni kuwa Serikali ya Kenya bado haijaamua kuwatambua watu hawa ijapokuwa hivi sasa tuko kwenye harakati za kuwasaidia watambulike kama Wakenya. Karibu wote hawajui vile watarudi. Hawana mtu wanaomjua huko na nchi yao ni Kenya. Hivi sasa, hawana vitambulisho na hawatambuliki kabisa."
}