GET /api/v0.1/hansard/entries/620815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620815,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620815/?format=api",
    "text_counter": 149,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Taasisi ya ujenzi ya kitaifa tunayoita kwa lugha ya Kiingereza “National Construction Authority”, inatakikana iweke mikakati na sera mwafaka za kuhakikisha ya kwamba majengo yalioko sasa na majengo ambayo yatajengwa yaweze kufanyiwa ukarabati ama yafanyiwe miundo msingi ambayo itawezesha ndugu zetu waweze kutumia njia hizo pasipokuwa na matatizo."
}