GET /api/v0.1/hansard/entries/620816/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 620816,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620816/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "Najua Kenya imeingia katika mikataba mingi sana ya kiulimwengu katika kutetea haki za walemavu lakini shida ni kwamba hatujazingatia na hatujaweka mikakati na kanuni mwafaka za kuhakikisha sheria hizi tumezifuata kulingana na mikataba na pia kulingana na Katiba yetu. Ikiwa sheria hizi hazikufuatwa ama mtu amezigeuka, basi kutakuwa na sheria gani ama kutakuwa na hatua gani ya kumwadhibu mtu huyu ama shirika lolote ambalo litakuwa limekiuka mikataba kama hii?"
}