GET /api/v0.1/hansard/entries/620817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 620817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/620817/?format=api",
    "text_counter": 151,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Itakuwa vizuri sana washikadau wote kama vile lile shirika la walemavu la nchi yetu kwa jumla, wale wanaangalia mipango ya miundo misingi ya nchi yetu ya Kenya, wale wanaoshughulika katika mambo ya uchoraji, kutoa mapu zile za kutengeneza mijengo katika nchi yetu wakihusishwa. Washikadau hawa wote kabla hawajatekeleza mambo yao katika bajeti zao, ni lazima wafikirie kwamba tuna walemavu hapa Kenya takribani asilimia 15. Hawa tu ndio wataweza kutusaidia sisi kama Wakenya na kuwezesha watoto wetu kupata haki zao za kimsingi."
}