GET /api/v0.1/hansard/entries/621354/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 621354,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/621354/?format=api",
    "text_counter": 340,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Okong’o",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 948,
        "legal_name": "Kennedy Mong'are Okong'o",
        "slug": "kennedy-mongare-okongo"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, neno moja halimzuii Seneta---. Nitakuwa nimeenda kinyume cha sheria zetu nikiongea Kiingereza katika sentensi nzima. Sen. (Dr.) Zani ni mwalimu wangu anayetoka eneo la pwani. Kwa hivyo, ni mweledi wa Kiswahili. Kwa hayo, nadhani sijakosea sana. Naomba niruhusiwe kuendelea kunena yale ambayo nilikuwa nanena kwa lugha ya Kiswahili."
}