GET /api/v0.1/hansard/entries/622167/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 622167,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/622167/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "February 18, 2016 SENATE DEBATES 9 Sen. Mositet",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Naunga mkono Hoja hii kwamba Sen. Billow Kerrow ambaye tunamfahamu vizuri kwa kuchapa kazi. Ni mtu mwadilifu. Nina hakika kwamba atatuwakilisha vizuri katika Bunge la Afrika. Mwaka uliopita kila mtu alishuhudia akiwatetea watu wake. Wengi walitarajia anyamaze lakini alipowatetea, watu walidhani kwamba alikuwa haungi mkono Serikali tena. Namwomba asimame kidede katika kutetea haki za watu wake na taifa letu la Kenya. Nampongeza sana kwa uteuzi huu. Asante sana."
}