GET /api/v0.1/hansard/entries/622225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 622225,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/622225/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "February 18, 2016 SENATE DEBATES 17 Sen. Wangari",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ninaelewa kuwa hatuna muda wa kutosha, kwa hivyo, nitasema tu mambo mawili. Kwanza, ninaunga mkono dua la wakaazi wa Wodi ya Bukhayo ya Kati, Kaunti ya Busia. Ninawashukuru sana kwa sababu wametambua uwezo na mamlaka yao katika Katiba, ambayo ni kuangalia vile fedha ambazo wametengewa na Serikali zinatumika."
}