GET /api/v0.1/hansard/entries/62299/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 62299,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/62299/?format=api",
"text_counter": 95,
"type": "speech",
"speaker_name": "7 Wednesday, 23rd February, 2011(P) Mr. Waititu",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, tulienda na Mheshimiwa mwenyewe kwa mradi huo na nikaagiza Wizara itoe Kshs5 milioni. Kwa wakati huu AIE inatengenezwa na kabla wiki ijayo atapata pesa za kuweka maji katika eneo bunge lake."
}