GET /api/v0.1/hansard/entries/624510/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 624510,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/624510/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa kunipatia fursa hii ili niichangie Ripoti hii. Kwanza, ninataka kuiunga mkono Ripoti hii inayozungumzia mambo mengi yanayohusiana na sukari katika nchi yetu ya Kenya. Kama tunavyojua, zaidi ya watu millioni sita nchini wanategemea sekta hii. Shida kubwa katika sekta ya sukari ni uagizaji wa sukari kutoka nje. Hili ni jambo ambalo linavifanya viwanda vyetu kuvurugika ama kutoendelea vizuri."
}