GET /api/v0.1/hansard/entries/624511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 624511,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/624511/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Jambo lingine ambalo ningependa kulizungumzia ni ufisadi na usimamizi mbaya wa viwanda hivi. Ninataka kusisitiza kwamba hizi ndizo sababu ambazo zinaleta shida. Tunastahili kujua ni kwa nini viwanda vyetu vinaanguka, na ni shida gani zinazoikumba sekta ya sukari."
}