GET /api/v0.1/hansard/entries/624883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 624883,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/624883/?format=api",
    "text_counter": 201,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Gathogo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 2715,
        "legal_name": "Esther Nyambura Gathogo",
        "slug": "esther-nyambura-gathogo"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Hoja ambayo iko mbele yetu ni muhimu. Nashukuru Mhe. Chris Wamalwa kwa kuileta. Ombi langu ni moja. Kwa sababu kila Mbunge anayesimama anaongea kuhusu shida zilizoko katika sehemu yake wa Uwakilishi Bungeni, ni kama hii shida iko kila mahali. Sijasikia mtu akisema ya kwamba kuna watu ambao wako maeneo ya Bunge ya mijini ambao wanaambiwa waende kwao wakachukue---"
}