GET /api/v0.1/hansard/entries/624915/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 624915,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/624915/?format=api",
"text_counter": 233,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Nikimaliza kuunga mkono, ninatoa kongole kwa Mhe. Wamalwa kwa kuileta Hoja hii. Hii Hoja ingekuja jana, leo vitambulisho vingetolewa katika Kaunti ya Tana River. Ninasema hivyo kwa sababu mtu anatoa nauli kuja Nairobi na kulipa hoteli kutafuta kitambulisho ambacho angeletewa kule aliko. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. Asante."
}