GET /api/v0.1/hansard/entries/625884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 625884,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/625884/?format=api",
    "text_counter": 538,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Mhe. Spika, nashukuru kwa nafasi hii umenipatia nitoe mchango wangu kulingana na Ripoti hii ambayo tumepatiwa ili kueleza mwelekeo wa makadirio ambayo yatakuja mwaka wa 2016. Mwelekeo huu umepeanwa na Kamati ya Ratiba ambayo imeongozwa na Naibu Spika, Mhe. Laboso. La kushangaza ni kuwa wenyeviti wa Kamati hizi hivi wangekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa wanachangia kikamilifu kutetea Ripoti hii ili nasi tuwaunge mkono. Wakati mwingine mambo kama haya yanafadhaisha kwani ingekuwa bora zaidi wao wawe kipau mbele. Naomba niwapongeze kwa kazi hii njema ambayo wameifanya. Wakati mwingine jambo linaweza kutokea na ukaliona labda si la faida, lakini labda ile shida iliyotokea na Kamati ya Bajeti na Makadirio ambayo ilitufanya twende kwenye hii Kamati ya Ratiba, naona matunda yake. Huenda ikawa Mungu alituongoza mambo kama haya yatokee ili tupate matunda haya. Nina imani tutafikia kiwango tunachotarajia kufika. Mhe. Spika, nina machache ambayo ningependa niangazie nikianza na Jopo la Ardhi. Jopo hili la Ardhi limepewa majukumu ya kuhakikisha kuwa kesi zote ambazo bado The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}