GET /api/v0.1/hansard/entries/625888/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 625888,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/625888/?format=api",
"text_counter": 542,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 98,
"legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
"slug": "thomas-mwadeghu"
},
"content": "Ni ombi langu kuwa wakati makadirio yatakuwa yamefikishwa hapa, fedha ambazo zinahitajika ziwekwa ndani sawa sawa. Fedha za walimu zimewekwa kama fedheha. Kila mtu amepiga kelele kuhusu walimu. Wakati umefika katika nchi hii tuangalie haya makadirio kuwa yamewekwa sawa sawa na walimu wamepewa haki yao. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}