GET /api/v0.1/hansard/entries/626104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 626104,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/626104/?format=api",
    "text_counter": 106,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika, Nidhamu yangu ni kwamba Sen. Adan hakujibu swali liloulizwa na Sen. (Prof.) Lonyangapuo. Ameulizwa kama rubani huyu ni mgeni. Katika jibu lake alisema, “ndio ana paspoti ya Marekani.” Ni wazi kwamba yeye ni mgeni. Sen. (Prof.) Lonyangapuo aliuliza, kwa nini rubani wa kigeni anapewa kazi ilhali kuna rubani wengi hapa nchini? Lakini amelihepa swali hilo."
}