GET /api/v0.1/hansard/entries/626136/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 626136,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/626136/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, naomba Naibu Mwenyekiti atueleze kama anajua kwamba katika Katiba Kifungu 37 kuna haki ya watu kufanya maandamano. Ameeleza vizuri kwamba wakati maandamano ikienedelea, vitoa machozi vilifyatuliwa. Kwa nini askari waliacha kufyatua vitoa machozi? Viliisha ndio wakaamua kupiga risasi mara kadhaa."
}