GET /api/v0.1/hansard/entries/627070/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627070,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627070/?format=api",
"text_counter": 704,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu wa Spika. Kama nilivyoeleza jana, jambo la ardhi likitajwa, takribani watu asilimia 80, watu wa Pwani tukiwemo, huguswa kwa njia moja au nyingine. Kipengee cha 31 kinaweka haki sawa ya kutambua akina mama na jamii za watu wanyonge tunaowaita kwa lugha ya kimombo “marginalized communities”."
}