GET /api/v0.1/hansard/entries/627071/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627071,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627071/?format=api",
    "text_counter": 705,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Mhe. Naibu wa Spika, siku zinazofuata, wakati tutakapokua tukiupiga msasa Mswada huu, tutataka kurekebisha Vipengele vya 35 na 46 kwa sababu vinatoa mwanya kwa mabwenyenye kunyemelea ardhi ambazo ni za jamii inayokaa katika sehemu hizo."
}