GET /api/v0.1/hansard/entries/627073/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627073,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627073/?format=api",
    "text_counter": 707,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Mhe. Naibu wa Spika, kule kwetu Pwani, watu wanakaa miaka mingi, na ukimuuliza mtu anaishi wapi, atakuonyesha kaburi ya babu aliyemzaa babu yake. Kwa hivyo, Mswada huu utatufanya sisi kama viongozi kuwa daraja ya watu wetu na Serikali, na tutahakikisha kwamba Serikali imewapatia hati miliki."
}