GET /api/v0.1/hansard/entries/627074/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627074,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627074/?format=api",
    "text_counter": 708,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Kama ulivyozungumza hapo awali, kule kwetu Pwani kuna sehemu inayoitwa Maganda. Kwa sasa wakazi katika sehemu hiyo wako na allotment letter, lakini watu hawajapatiwa hati miliki ilhali mradi mkubwa wa Serikali unapita huko. Watu hao wanaambiwa kwamba wanafanyiwa hesabu kulingana na nyumba zao, lakini si kulingana na ardhi ambayo wanamiliki pale. Kuidhinishwa kwa Mswada huu kutawapatia wenyeji hao fursa ya kusikika na waweze kumiliki ardhi hiyo."
}