GET /api/v0.1/hansard/entries/627077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627077,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627077/?format=api",
"text_counter": 711,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Mwisho kabisa, ninapongeza Kamati ambayo imefanya kazi hii. Wametutoa katika lindi la shida na waliokuwa wanajiita walala hoi sasa watakuwa walala hai. Kwa hayo machache, Mhe. Naibu Spika, ninakushukuru kwa kunipatia nafasi hii ambayo ilikuwa imenipita lakini ukanirudisha kwa amri zako nimalize yale ambayo sikuwa nimemaliza jana. Asante, Mhe. Naibu Spika."
}