GET /api/v0.1/hansard/entries/627572/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627572,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627572/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Nikiguzia kipengele cha sita, kuhusiana na nyadhifa za serikari ya Kaunti, lazima zibainishwe wazi ni vipi. Kwa sababu, mashamba haya ya jamii yako chini ya serikari ya kaunti. Kwa hivyo, ni vizuri iwe wazi pale, je majukumu ya serikali ya kaunti kuhusiana na haya mashamba yatakuwa ni yapi? Vile vile wakati wanashikilia haya mashamba ya jamii itakuwa ni kwa muda ngani? Na kama niwao watakaokuwa wakiweka hazina hiyo ama kuna wakati mwingine ambao kunauwezekano kwamba kamati inaweza tengenezwa ili kwamba mambo yote yanayohusiana na ardhi ya jamii yapitie hiyo kamati."
}