GET /api/v0.1/hansard/entries/627573/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627573,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627573/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Vile vile, lazima iwe wazi kwamba kuna mashamba ya jamii ambayo hayajasajiliwa. Haya mashamba, je, wakati mtu amekuja kama mwekezaji katika kauti hiyo, ni nani ambaye atahusika katika maswala hayo? Ni vizuri kama itakuwa wazi ili mtu yeyote ambaye anakuja kuekeza katika shamba za jamii, jamii hizo ziweze kuwakilishwa vilivyo. Manake wakati mwingine kuna mambo ya fidia, kwa mfano. Lazina tujue hiyo fidia ni nani haswa watakuwa wanaangazia."
}