GET /api/v0.1/hansard/entries/627574/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627574,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627574/?format=api",
"text_counter": 122,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1022,
"legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
"slug": "joyce-wanjalah-lay"
},
"content": "Tukianganzia pia katika kipengele cha 37, tunaona kinazungumza kuhusu maswala ya ugawaji wa hiyo fidia. Ni vizuri wananchi wenyewe ama jamii ipatiwe nafasi, sauti na nguvu ya kuweza kuaamua kwamba ni nini haswa inataka kutoka kwa yule mwekezaji. Hii ni kwa sababu wakati mwingine hata si fedha labda zinatakikana; wanaweza kuamua kwa sababu huyu amekuja kuekeza kwao waweke ombi kwamba awatengenezee barabara au awajengee hospitali. Mambo haya yanaweza kutoka kwa wananchi wenyewe."
}