GET /api/v0.1/hansard/entries/627575/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627575,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627575/?format=api",
    "text_counter": 123,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1022,
        "legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
        "slug": "joyce-wanjalah-lay"
    },
    "content": "Vile vile nikiangazia katika kipengele cha 46, kunao watu ambao wameweza kukaa katika mashamba haya ya jamii bila idhini au stakabathi ambazo zinatakikana. Ni vizuri pia tujue kwamba kabla ya huu Mswada haujakuwa sheria, je mambo yao yanaweza kuangaziwa ili wasije wakawa hawataweza kufaidika sheria hii ikipita? Vile vile kunao Waingereza ambao waliondoka na kuacha mashamba makubwa makubwa. Haya mashamba ni vizuri tujue kama yatarudishwa kwa jamii ama serikali. Inafaa jambo hili lifanywe wazi."
}