GET /api/v0.1/hansard/entries/627716/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 627716,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627716/?format=api",
    "text_counter": 264,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Bady",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 1612,
        "legal_name": "Bady Twalib Bady",
        "slug": "bady-twalib-bady"
    },
    "content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu. Jambo la kwanza, nataka kuunga mkono Mswada huu kwa sababu swala la ardhi, hasa kwa sisi ambao tunatoka Pwani, takribani karibu watu asilimia 80 wanakumbwa na jambo hili kwa njia moja ama nyingine. Vile vile, kwa wenzetu katika jamii ya wafugaji, jambo hili linawakumba."
}