GET /api/v0.1/hansard/entries/627718/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627718,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627718/?format=api",
"text_counter": 266,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Jambo kama hili mimi binafsi limenifurahisha nikiwa Mbunge wa Jomvu kwa ajili kuna sehemu kadhaa katika sehemu yangu kama vile Aldina, Maganda na sehemu nyingine za Bangladesh, KCC na Ganahola. Tukiangalia katika sehemu ya Aldina, wenyeji walikaa hapo takribani tangu Kenya haijapata Uhuru. Vile vile, Tume ya Kuchunguza Mambo ya Ardhi -"
}