GET /api/v0.1/hansard/entries/627722/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 627722,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/627722/?format=api",
"text_counter": 270,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Bady",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1612,
"legal_name": "Bady Twalib Bady",
"slug": "bady-twalib-bady"
},
"content": "Naunga mkono Mswada huu na nampongeza ndugu yangu Mhe. Alex Mwiru na Kamati yake yote ya Ardhi kwa kufanya kazi na kuleta mambo ambayo tunayazungumzia katika Bunge hili leo. Kwa sababu zamani tulikuwa tunawaita “walala hoi”, sasa tutawaita “walala hai” kwa shauri watakuwa na ukweli wa kuona watakuwa na haki ya kumiliki ardhi katika seheme zao."
}