GET /api/v0.1/hansard/entries/629499/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 629499,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/629499/?format=api",
    "text_counter": 277,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Asante sana, Naibu Mwenyekiti wa Muda, kwa kunipa nafasi hii. Kwanza, ninashangaa ni kwa nini wenzangu wanafikiria kuwa sehemu hii iondolewe ili tuhakikishe kuwa mafuta na gesi zikipatikana basi watu wawili, mwanakandarasi na waziri wakishakubaliana yameisha, halafu ndio baadaye iletwe Bungeni. Kama kuna njia moja mbaya ya kuleta---"
}