GET /api/v0.1/hansard/entries/629507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 629507,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/629507/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwadeghu",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 98,
        "legal_name": "Thomas Ludindi Mwadeghu",
        "slug": "thomas-mwadeghu"
    },
    "content": "Ombi ambalo limeletwa na Mhe. Amina Abdalla na Mhe. Profesa Nyikal ni nzuri. Nawashukuru kwa njia ya kipekee kwa kuona pahali tatizo liko. Naomba Wabunge wenzangu tukubaliane kwa kauli moja. Hata tusibishane. Wakati umefika tuunde hii sheria kuwa mikataba italetwa hapa, hasa ya mafuta, kabla watu kupanga mikakati yao ya kunyanyasa Wakenya. Mhe. Naibu Mwenyekiti wa Muda, naunga mikono. Asante."
}