GET /api/v0.1/hansard/entries/630352/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 630352,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/630352/?format=api",
"text_counter": 199,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. S.A. Ali",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ahsante Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa kuandamana na wenzangu kuunga mkono huu Mswada ambao uko mbele yetu leo. Jambo muhimu ambalo nataka tujiulize ni kwamba umuhimu wa huu Mswada ni nini katika nchi yetu ya Kenya? Ni yapi ambayo tumeweza kuyafaidi ama tumeyaona katika nchi yetu ya Kenya kuhusiana na Mswada huu?"
}